Tax Consultancy
USHAURI WA KODI
Suluhisho za Kodi kwa Wote
Tunatoa huduma za usajili wa TIN, uwasilishaji wa returns, na ushauri wa kisheria kuhusu masuala yote ya kodi kwa watu binafsi na makampuni.
TIN Registration
Usajili wa namba ya mlipa kodi.
Tax Returns
Uwasilishaji wa ripoti za kodi.
Tax Planning
Mpango wa kupunguza mzigo wa kodi.
Compliance
Hakikisha unafuata sheria za TRA.