Job Application Support
USHAURI WA MAOMBI YA KAZI
Tunakusaidia Kupata Kazi
Kuanzia kuandaa maombi hadi kufungua akaunti za Ajira Portal, tunakamilisha kila hatua.
1
Tathmini ya Mahitaji
Tunachambua vigezo vya kazi unayoomba na kukupa orodha ya mambo yanayohitajika.
2
Kuandaa Nyaraka
Tunakusaidia kukusanya na kuandaa nyaraka zote muhimu kwa maombi.
3
Uwasilishaji wa Maombi
Tunakamilisha mchakato wa kutuma maombi kupitia mifumo mbalimbali ya ajira.
4
Ufuatiliaji
Tunakufuatilia na kukupa taarifa kuhusu maendeleo ya maombi yako.