Career Consultancy
USHAURI WA KAZI
Panga Safari Yako ya Kitaaluma
Tunakupa mwongozo wa kitaaluma kuhusu chaguo la kazi, maendeleo ya taaluma, na jinsi ya kujiandaa kwa soko la ajira la Tanzania na kimataifa.
- Tathmini ya uwezo na maslahi yako
- Mpango wa maendeleo ya kazi (Career Roadmap)
- Maandalizi ya usaili na mitihani ya kazi
Career Guidance Session
Career Mapping
Gundua njia bora ya kitaaluma kulingana na elimu yako.
One-on-One Coaching
Mazungumzo binafsi na mtaalamu wa kazi.
CV Review
Uhakiki wa CV yako na mapendekezo ya uboreshaji.
Growth Plan
Mpango wa hatua kwa hatua kufikia malengo yako.