BACC

SMART WORKS, HIGH QUALITY SERVICES

HOME ABOUT US
SERVICES
CAREER SERVICES
TAX CONSULTANCY
CLEAN ENERGY
BLOG CONTACT US

Piga Simu Sasa

+255 764 456 477

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Language / Lugha

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

BACC TANZANIA

"Smartworks, High Quality Services"

Tunasaidia individuals na makampuni kupata suluhisho bora katika masuala ya career, maombi ya kazi, kodi na nishati safi. Lengo letu ni kuona jamii ikiwa na elimu, ajira na maisha bora.

BACC Tanzania Professional

Suluhisho Bora Kwa Maisha Yako

Career Consultancy

Tunakusaidia kupanga, kujenga na kuinua safari yako ya kitaaluma.

SOMA ZAIDI

CV & Cover Letter Writing

CV na barua za maombi zilizoandaliwa kitaaluma na kuongeza nafasi ya kuitwa usaili.

SOMA ZAIDI

Job Application Support

Tunakusaidia kutuma maombi ya kazi kikamilifu na kufungua akaunti za Ajira Portal.

SOMA ZAIDI

Tax Consultancy

Ushauri wa kodi, usajili, na mambo yote ya ulipaji kodi kwa watu binafsi na makampuni.

SOMA ZAIDI

LPG & Accessories

Nishati safi ya LPG na vifaa vyake bora kwa matumizi ya nyumbani na biashara.

SOMA ZAIDI
0
Wateja Wameridhika
0
CV Ziliandaliwa
0
Maombi ya Kazi
0
Miaka ya Uzoefu

Uzoefu na Utaalamu

Tuna timu yenye uzoefu na inayojali matokeo.

Huduma Bora

Tunazingatia ubora na kuridhisha wateja wetu.

Matokeo Yanayoonekana

Tunasaidia wateja wetu kufanikiwa kweli.

Uaminifu na Uwazi

Tunafanya kazi kwa uwazi na uaminifu.