LPG Gas Supply
GESI SAFI
Nishati Safi kwa Kila Mtu
Tunasambaza gesi safi ya LPG kwa matumizi ya nyumbani, biashara, na viwanda. Gesi yetu ni salama, nafuu, na inapatikana kwa ujazo mbalimbali.
Cylinders za 6kg, 13kg, 35kg, na 50kg
Ufungaji wa mfumo wa bomba kwa nyumba
Huduma ya dharura 24/7
Quality LPG
Safe. Reliable. Affordable.